Ufaransa inaendesha operesheni maalum katika Kisiwa cha Mayotte ambapo kikosi maalum cha polisi kimepelekwa katika eneo la makazi kuvunja mabanda ambayo baadhi ya wakazi wa Mayotte an wahamiaji kutoka Comoros wamevamia.
Ungana na mwandishi wetu akukuletea malalamiko kutoka kwa watu walioathirika na operesheni hiyo.