Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 05:01

Raia: Islamic State na al-Qaida waeneza ghasia Burkina Faso hadi Benin


Raia: Islamic State na al-Qaida waeneza ghasia Burkina Faso hadi Benin
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:24 0:00

Ghasia zinazohusishwa na makundi ya Islamic State na al-Qaida zinaenea kutoka katika mpaka wa 'Burkina Faso hadi Kaskazini mwa Benin.

Mkazi wa eneo hilo anaeleza kwa sharti jina lake lisitajwe hofu asema hali haiko salama. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili kuhusu hofu inayowakabili watu wa eneo hilo ..

XS
SM
MD
LG