Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Oktoba 02, 2022 Local time: 16:02

Raia 16 wauawa na waasi wakitoka kutafuta mahitaji sokoni


Raia 16 wauawa na waasi wakitoka kutafuta mahitaji sokoni
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:46 0:00

Waasi wa kikundi chenye msimamo mkali wa kidini nchini DRC "wamelishambulia" lori lililokuwa limebeba raia wakitoka sokoni kutafuta mahitaji na pia wameteketeza pikipiki kadhaa na kujeruhi wengine.

XS
SM
MD
LG