Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Juni 13, 2024 Local time: 23:12

Putin aishutumu serikali ya Ukraine ya "kuchagua vita"

Putin alisema siku ya Jumatano mjini Moscow kwamba jaribio la uchokozi wa kutaka vita ni juhudi ya kuutaka umma uangazie swala Fulani badala ya lingine.
Putin alisema siku ya Jumatano mjini Moscow kwamba jaribio la uchokozi wa kutaka vita ni juhudi ya kuutaka umma uangazie swala Fulani badala ya lingine.

Rais wa Russia, Vladimir Putin ameituhumu Ukraine kwa kuchagua ugaidi badala ya amani baada ya kile alichokiita mashambulizi dhidi ya Crimea ambayo yalipangwa na wanajeshi wa maafisa wa ujasusi wa Ukraine.

Putin alisema siku ya Jumatano mjini Moscow kwamba jaribio la uchokozi wa kutaka vita ni juhudi ya kuutaka umma uangazie swala Fulani badala ya lingine.

Putin alisema serikali yake itafanya kila iwezalo kuhakikisha kwamba kuna usalama na utaongeza juhudi Zaidi za kuimarisha usalama huo.

Lakini rais wa Ukrain Petro Poroshenko alikanusha madai hayo na kuyaitaja kama ya uendawazimu. Alisema kuwa serikali yake haiwezi kamwe kutumia nguvu kujaribu kuikalia tena Crimea.

XS
SM
MD
LG