Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 28, 2023 Local time: 15:37

Prince Charles akutikana na virusi vya corona


Prince Charles na mkewe Camilla.

Prince Charles wa Uingereza amekutikana na maambukizi ya virusi vya corona.

Tamko lililotolewa Jumatano limesema kuwa Charles " alikuwa anaonyesha dalili za mbali za ugonjwa huo," lakini mbali na hilo yuko katika hali nzuri.

Mkewe Camila, amechukuliwa vipimo lakini hakukutikana na virusi hivyo.

Charles na mkewe wamejitenga wenyewe katika makazi yao huko Scotland.

Imetayarishwa na mwandishi wetu, Washington, DC.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG