Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Juni 18, 2024 Local time: 14:46

Bajeti ya awali yasomwa Kenya


Mji wa Nairobi, Kenya
Mji wa Nairobi, Kenya

Mataifa ya Afrika Mashariki Jumatano yamesoma makadirio ya matumizi ya Serikali katika mwaka wa kiuchumi ujao.

Matifa ya Afrika Mashariki Jumatano yamesoma makadirio ya matumizi katika bageti ambazo zimeashiria utumizi mkubwa wa fedha . Kwa mfano bajeti ya Uganda imesemekana kuwa ya Shilingi trilioni 26.4 za Uganda katika mwaka wa kiuchumi ujao.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:02 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Nchini Kenya Waziri wa Fedha alisoma bajeti ya awali mbele ya wabunge kabla ya bajeti kamili kusomwa badhaa ya kuidhinishwa kama inavyohitajika kwenye katiba mpya.

Harrison Kamau wa VOA aliweza kufanya mazungumzo na Bw Njuguna Kamau ambae ni mwenyekiti wa Baraza la Biashara Kaunti ya Nakuru kuhusu bajeji hiyo. Kwa tarifa zaidi sikiliza mahojiano.

XS
SM
MD
LG