Mratibu wa kazi za kikosi cha Polisi cha Umoja wa Afrika, Somalia, AMISOM, Daniel Ali Gwambal amesema Jumatatu kundi la maafisa wa polisi 144 kutoka Nigeria wamewasili Somalia ili kuimarisha juhudi za kuleta uthabiti katika taifa hilo la Pembe ya Afrika.
Facebook Forum