Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Novemba 26, 2022 Local time: 12:27

Polisi Tanzania yaeleza Hamza aliyeuwa askari na mlinzi ni gaidi


Polisi Tanzania yaeleza Hamza aliyeuwa askari na mlinzi ni gaidi
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Camillius Wambura amesema uchunguzi uliofanywa dhidi ya Hamza Mohamed aliyewaua askari watatu wa Jeshi la Polisi na na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA kisha naye kuuawa, umebaini Hamza Mohamed alikuwa ni gaidi wa kujitoa mhanga.

- Kimbunga Ida chaleta uharibifu mkubwa katika baadhi ya majimbo Marekani

- Zaidi ya watu 120,000 waliondolewa kutoka nchini Afghanistan kwa ndege katika kipindi cha mwezi mmoja.

- Wanafunzi zaidi ya 73 wa shule ya sekondari ya kutwa wametekwa na kundi la wahalifu katika jimbo la Zamfara Nigeria

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG