Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Februari 06, 2023 Local time: 06:03

Tuhuma anazorushiwa mjane anapojaribu kudai urithi wa mumewe


Tuhuma anazorushiwa mjane anapojaribu kudai urithi wa mumewe
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:40 0:00

Tanzania: Mwanamke aliyefiwa na mumewe na anajukumu la ulezi wa watoto watatu na akiwa mjamzito anaeleza ukandamizaji unaoendelea dhidi ya wanawake katika jamii.

Ni kama ilivyo kwa wanawake wengine wanaofikwa na janga la kudhulumiwa urithi hakuambulia chochote katika urithi wa mumewe. Anaeleza tuhuma anazoelekezewa mwanamke wakati anapotaka kufuatilia haki zake, na hivyo kumfanya asiweze kuchukua hatua yoyote.

Ungana na mwandishi wetu wa Dar es Salaam Idd Uwesu akifanya mahojiano maalum na mwanamama huyu na kueleza yaliyomfika na mengi mengineyo..

XS
SM
MD
LG