Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Septemba 17, 2024 Local time: 17:17

Obama awaasa wapiga kura, awataka wasijibweke

Democratic National Convention (DNC) in Chicago
Democratic National Convention (DNC) in Chicago

Obama alikuwa mzungumzaji mkuu katika usiku wa pili wa mkutano mkuu wa chama huko Chicago.

Alionya dhidi ya kujibweteka wakati wa uchaguzi wa Novemba na kuwahimiza Wamarekani kupiga kura.

Wajumbe wa Mkutano wa Wademokrat wa Kitaifa (DNC) wakimsikiliza Rais wa zamani Barack Obama (DNC) huko Chicago, Illinois, Agosti 20, 2024.
Wajumbe wa Mkutano wa Wademokrat wa Kitaifa (DNC) wakimsikiliza Rais wa zamani Barack Obama (DNC) huko Chicago, Illinois, Agosti 20, 2024.

“Msifanye kosa, yatakuwa ni mapambano,” Obama alisema. Kwa nguvu zote tulizozikusanya, mikutano ya kampeni na ushawishi uliotapakaa, “Huu bado utakuwa uchaguzi wenye ushindani wa karibu katika nchi iliyogawanyika.”

Forum

XS
SM
MD
LG