No media source currently available
Bismack Biyombo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo alikuwa na ndoto ya kuwa mchezaji wa kulipwa wa mpira wa kikapu Marekani. Ndoto yake imekuwa kweli kwa zaidi ya muongo mmoja na anachangia katika maendeleo ya nchi yake.