Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Juni 20, 2024 Local time: 15:29

Shambulizi la kwanza la Marekani lafanyika Pakistan


Kwa mara ya kwanza ndege isiyo na rubani ya Marekani ilipiga Pakistan nje ya eneo lake lisilo na sheria la mpakani na Afghanistan na kumuuwa kiongozi wa Taliban nchini humo katika jimbo la kusini magharibi la Baluchistan.

“Ingekuwa vizuri kama Pakistan ingemlenga ndani ya eneo lake," Mtumishi wa Serikali ya Pakistan Umair Khan aliiambia VOA. Amesema ni kinyume cha sheria kwa Marekani kumlenga mtu huyo ndani ya nchi yetu.


Katika Pakistan, Somalia, Yemen, Marekani haijawahi kusita kuwalenga magaidi popote pale na wakati wowote inapoona inafaa.

XS
SM
MD
LG