Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 08, 2022 Local time: 02:28

Umiliki bunduki ni moja ya mswala nyeti katika uchaguzi wa Marekani


Wamarekani wanaounga mkono haki za kumiliki bunduki wafanya maandamano katika jimbo la Texas.

Katika kipindi hiki cha uchaguzi, masuala ya haki ya kumiliki bunduki na kanuni ndiyo yamejitokeza zaidi na yenye hisia kwa wapiga kura hao ambao wanaona mjadala wa kumiliki bunduki kati ya mgombea wa republican Donald Trump na mdemocratic Hillary Clinton ni suala kuu.

Kipengele kilichopo kwenye katiba ya Marekani na ambacho kinafurahiwa kuwa ni sehemu ya urithi wa marekani, haki ya kumiliki bunduki kimechochea mjadala wa kina, kama ilivyo kwa masuala mengine machache, na unaweza kuwa na mchango katika sanduku la kura.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG