Warohingya wahofia mustakbal wao
Waislamu Warohingya laki 7waliotoroka Myanmar na kwenda Bangladesh kufuatia ukandamizaji mbaya ulofanywa na jeshi la Mynamar Agasti mwaka 2017 katika jimbo la Kaskazini-Magharibi la Rakhine. Lakini Warohingya zaidi ya laki 1 na elfu 20 walobakia Myanmar, maisha yanatisha na wanahofia mustakbal wao.
Facebook Forum