Mwanasheria wa familia ya hayati Tyre Nichols asema kuna haja ya kuzungumzia kile alichozungumzia upendeleo uliokuwa wa wazi katika utamaduni wa polisi nchini Marekani. Asema Haijalishi maafisa hao ni Weusi, Wahispania au Wazungu. Endelea kusikiliza....