Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 00:25

Mwanaharakati asema Marekani lazima ishike hatamu katika mazingira


Mwanaharakati asema Marekani lazima ishike hatamu katika mazingira
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:04 0:00

Balozi wa nia njema wa shirika la Umoja wa Mataifa la Unicef anamtaka Rais wa Marekani Joe Biden kuwa pamoja na wananchi na dunia yote kwa ajili ya vizazi vijavyo. Nadhani dunia inaihitaji Marekani kuwa kiongozi wa hali ya hewa.

Vita vyetu ni kwa ajili ya kupigania haki na usawa kwa ajili ya ajili ya mabadiliko ya hali ya hewa. Unagana na mwandishi wa VOA akikuletea repoti ya sababu ambazo zinafanya dunia kutaka Marekani ishike hatamu katika masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani.

XS
SM
MD
LG