Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Oktoba 26, 2020 Local time: 11:26

Mvutano kutokana na uwamuzi wa ICC unaendelea Kenya


Wafuasi wa Raila Odinga wakilalamika baada ya rais Mwai Kibaki kutangazwa mshindi wa uchgauzi mkuu wa 2007, na kusababisha kuzuka ghasia za kikabila nchini Kenya.

Kwa muda wa wiki moja baada ya mwanasheria mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC kuwasilisha majina ya watuhumiwa sita wa ghasia za baada uchgauzi Kenya, baadhi ya wanasiasa na wabunge wa majimbo ya Kati na Rifty Valley wamekua wakianda mikutano ya hadhara kulizungumzia suala hilo.

Wanasiasa hao wameanda mikutano hiyo kwa lengo la kutathimini maana halisi ya uwamuzi huo wa ICC na hatua zinazofa kuchukuliwa na serikali kuwahami watuhumiwa.

Wote rais Mwai Kibaki na waziri mkuu Raila Odinga wako kimya kuhusu tangazo hili la ICC, isipokua wafuasi wao wanaendelea kutoa maoni yanayotafautiana.

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG