Ungana naye akikuelezea mateso aliyopitia katika matibabu ya saratani ya koo na nini kilichomsaidia kuendelea kuishi. Anaeleza ilikuwa ni ndoto yake awafikishie ujumbe wengine juu ya madhara ya sigara.