Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Oktoba 27, 2020 Local time: 20:34

Mkapa azikwa kijijini kwao Mtwara


Rais Benjamin Mkapa

Hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa rais wa awamu ya Tatu nchini Tanzania  amezikwa leo Jumatano katika kijiji cha Lupaso Wilayani Masasi, mkoani Mtwara ambako alizaliwa. 

Mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa uliwasili nyumbani kwake Jumanne jioni Julai 28, 2020, kutoka Dar es Salaam ambako mauti yalimkuta.

Mkapa aliaga dunia usiku wa kuamkia Ijumaa tarehe 23 mwezi Julai.

Sherehe za kitaifa za kuuaga mwili wa rais Mkapa zilifanyika Dar es Salaam na baada ya hapo mwili wake ulisafirishwa kwa ndege ya jeshi la anga la Tanzania hadi Mtwara.

Facebook Forum

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG