Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Oktoba 03, 2024 Local time: 23:13

MTV yatangaza uteuzi wake wa tuzo za Muziki za Video za mwaka 2022

Jack Harlow akiwasili akiwa amevalia shati la Lil Nas X kwenye Tuzo za BET siku ya Jumapili, Juni 26, 2022, kwenye Ukumbi wa Microsoft Theatre huko Los Angeles. Harlow ni mteule wa tuzo za Muziki za MTV za 2022, MTV.

Jack Harlow, Kendrick Lamar na Lil Nas X wanaongoza kwa kuteuliwa mara saba kila mmoja, wakifuatiwa na Doja Cat na Harry Styles wenye sita kila mmoja.

Jack Harlow, Kendrick Lamar na Lil Nas X wanaongoza kwa kuteuliwa mara saba kila mmoja, wakifuatiwa na Doja Cat na Harry Styles wenye sita kila mmoja.

Wasanii wengine waliotajwa mwaka huu ni Billie Eilish, Drake, Dua Lipa, Ed Sheeran, Taylor Swift na The Weeknd.

Mashabiki wanaweza kushiriki na kuwapigia kura nyota wanaowapenda katika maeneo 22 yasioegemea kijinsia, ikijumuisha video ya mwaka, msanii bora wa mwaka, ushirikiano bora na aina mbili mpya: video bora zaidi ya muda mrefu na utendakazi bora zaidi.

VMA za 2022 zitaonyeshwa moja kwa moja kutoka Kituo cha Prudential cha New Jersey siku ya Jumapili, Agosti 28 saa 2 usiku saa za Marekani Mashariki.

XS
SM
MD
LG