No media source currently available
Mswaada wenye hali tete wa fedha mwaka 2023 uliopangwa kusomwa kwa mara pili katika Bunge la Kenya umeahirishwa hadi wiki ijayo. Sikiliza ripoti kamili juu ya sababu zilizopelekea kuahirishwa.