No media source currently available
Kijana Kenya atumia sanaa yake kutafuta suluhisho la uchafuzi wa mazingira, huku akiwafikia vijana mashuleni kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa kutumia plastiki zinazotupwa ovyo kwa ajili ya kutengeneza vivutio mbalimbali.