No media source currently available
Magenge ya vijana wahalifu ambayo yanatumia visu na mapanga kuwavamia watu wakati wa usiku na alfajiri yamewaacha wenyeji wa Likoni, mjini Mombasa, kuishi kwa hofu.