Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Aprili 20, 2024 Local time: 18:56

Utalii waelekea kuimarika pwani ya Mombasa


Meli iliyotia nanga pwani ya Mombasa.
Meli iliyotia nanga pwani ya Mombasa.

Meli ya kitalii ya Ms Silver imetia nanga katika bandari ya Mombasa pwani ya Kenya Jumatatu ikiwa na abiria zaidi ya 200 kutoka kisiwa cha Zanzibar nchini Tanzania.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:00 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Kuwasili kwa meli hiyo inaonekana ni hatua muhimu katika kuimarika kwa sekta ya utalii nchini Kenya.

Mkurugenzi wa chama cha watalii nchini Kenya Bw.Mohamed Hersi amesema karibu watalii 195 wamesafiri kwa meli kwenda nyumbani wakati wengine wanatua kwenye uwanja wa ndege wa Mombasa kupanda hiyo meli kuendelea na safari zao akingeza kwamba meli hizo zinawaletea mambo mazuri mengi.

XS
SM
MD
LG