Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Julai 24, 2024 Local time: 22:30

Vijana wengi wajiunga na magenge ya uhalifu Mombasa


Soko kuu la Mombasa
Soko kuu la Mombasa

Polisi mjini Mombasa huko Kenya wanachunguza mienendo ya vijana wadogo wanaodaiwa kujihusisha na uhalifu na kuhangaisha raia katika mji huo kwa kuwashambulia kwa silaha hatari na hata kuwaibia.

Vyombo vya usalama eneo hilo la Pwani vinawazuia vijana 17 waliokamatwa mwishoni mwa wiki, miezi michache baada ya magenge yanayotumia majina tofauti kuchipuka na mbinu kama hiyo.

Mwandishi wetu Josephat Kioko ameandaa taarifa zaidi..

mombasa gangs
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:48 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG