Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 06, 2022 Local time: 00:04

Mkutano wa COP27: Afrika inataka nchi tajiri kufadhili miradi ya kuokoa mazingira


Mkutano wa COP27: Afrika inataka nchi tajiri kufadhili miradi ya kuokoa mazingira
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:48 0:00

Mkutano wa Hali ya Hewa: Moja ya matarajio makubwa ya nchi za Afrika ni kupatiwa fedha zilizoahidiwa na mataifa tajiri katika mikutano iliyopita ili waweze kugharimia miradi itakayopunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa haraka iwezekanavyo.

XS
SM
MD
LG