Hanan Elatr alikwenda mafichoni mjini Washington baada ya mumewe kuuwawa katika tukio la 2018 ambalo maafisa wa ujasusi wa Marekani, walihitimisha kwamba ilitolewa amri na mwana mfalme wa Saudia Mohammed Bin Salman.
Khasoggi, ambaye alikuwa mkosoaji mkubwa wa serekali ya Saudi Arabia, alihamia kaskazini mwa Virginia mwaka 2018.
Mwezi Juni mwaka huo, yeye na mkewe walioana katika hafla ya kidini jimboni Virginia, lakini mke wake aliendelea kuishi Dubai, ambapo alikuwa akifanyakazi kama mhudumu wa kwenye ndege.
Forum