Mwananchi anayeshukiwa kuwa kiongozi wa genge anayehofiwa Haiti atoa dukuduku lake akisema yeye siyo mhalifu bali ni mpambanaji wa kijamii anayetaka maisha bora kwa wote katika jamii. Endelea kusikiliza jinsi anavyoeleza sababu zinazopelekea watu kujihami kama anavyofanya yeye...