Mkazi wa Goma aeleza hali ngumu inayomkabili yeye na watoto wake kutokana na kupanda kwa bei ya chakula. Sababu kuu ni kufungwa kwa barabara zinazoingia chakula katika mji wao kutokana na uvamizi wa waasi. Endelea kusikiliza jinsi familia zinavyohangaika...