Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 08, 2023 Local time: 05:23

Mikoa miwili ya Somalia yaathiriwa na ukame mbaya.


Mwanamke mmoja mkimbizi akiwa amembeba mwanae aliye na utapia mlo.
Mwanamke mmoja mkimbizi akiwa amembeba mwanae aliye na utapia mlo.

Umoja wa mataifa watangaza njaa katika mikoa miwili ya Somalia.

Umoja wa mataifa umetangaza njaa katika sehemu mbili za Somalia kusini wakati pembe ya Afrika ikiwa imekumbwa na njaa mbaya kuliko zote katika miongo kadhaa.

Shirika hilo la kimataifa limesema jumatano kuwa nja ipo kwenye katika maeneo ya Bakool na maeneo ya chini ya mikoa ya Shabelle na mkuu wa Umoja wa mataifa yameonya inaweza kusambaa kama hatua za haraka hazitachukuliwa kupambana na upungufu mkubwa wa chakula.

Bw. Ban aliwaambia waandishi wa habari huko New York kwamba wasomali wanakufa katika idadi kubwa sana na kwamba kila ucheleweshaji utapelekea maisha zaidi kupotea.

XS
SM
MD
LG