Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 21, 2023 Local time: 07:03

Mhamiaji Peter Mutabazi avuta hisia za wengi nchini Marekani


Mhamiaji Peter Mutabazi avuta hisia za wengi nchini Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:22 0:00

Mhamiaji kutoka Uganda Peter Mutabazi amevuta hisia za wengi hapa Marekani kwa kutoa malezi kwa watoto waliotelekezwa bila ya kujali historia ya familia zao au rangi ya ngozi.

XS
SM
MD
LG