Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 00:47

Mgomo : Walimu Zimbabwe waipa serikali masharti


Mgomo : Walimu Zimbabwe waipa serikali masharti
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:05 0:00

Umoja wa walimu vijijini nchini Zimbabwe umetoa masharti ya kusitisha mgomo mpaka pale serikali itakapo shughulikia matatizo yao ikiwemo mishahara ambayo iko chini ya kiwango cha umaskini na ukosefu wa vifaa vya kinga binafsi dhidi ya COVID-19.

XS
SM
MD
LG