Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Julai 22, 2024 Local time: 08:44

Messi na Ronaldo wapambana Saudia Arabia

Cristiano Ronaldo akionyesha ishara wakati wa mechi kati ya timu ya vilabu vya Saudi Arabia na Paris Saint-Germain ya Lionel Messi, Alhamisi, Januari 19, 2023, mjini Riyadh, Saudi Arabia.AP
Cristiano Ronaldo akionyesha ishara wakati wa mechi kati ya timu ya vilabu vya Saudi Arabia na Paris Saint-Germain ya Lionel Messi, Alhamisi, Januari 19, 2023, mjini Riyadh, Saudi Arabia.AP

Gumzo linaendelea baada ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kufanya shoo kababambe  walipokutana uso kwa uso katika ushindi wa 5-4 wa Paris Saint-Germain dhidi ya Riyadh All-Star XI siku ya Alhamisi.

Gumzo linaendelea baada ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kufanya shoo kababambe walipokutana uso kwa uso katika ushindi wa 5-4 wa Paris Saint-Germain dhidi ya Riyadh All-Star XI siku ya Alhamisi.

Mchezo huo wa maonyesho ulichezwa katika mji mkuu wa Saudi Arabia na kuwashuhudia mastaa hao wawili wakiingia katika ushindani wao wa hali ya juu kwa mara ya mwisho.

Licha ya kuwa ni mchezo wa kirafiki, mchezo huo ulichezwa kwa kasi ya juu huku umati uliojaa ndani ya Uwanja wa King Fahd ukipatra burudani ya magoli mengi kati ya mabingwa wa Ufaransa PSG na timu inayojumuisha wachezaji bora wa ligi ya ndani ya Saudia Arabia.

XS
SM
MD
LG