Mkutano huo katika mji mkuu wa Czech pia ulihudhuriwa na maafisa wakuu kutoka UN, NATO na Bunge la Ulaya.
Mawaziri wa Ulinzi pia walipangwa kujadili ushawishi wa shughuli za Russia barani Afrika, kwa kuzingatia mahsusi katika mazungumzo ya Umoja wa Ulaya katika kanda hiyo.