Upatikanaji viungo

Abiria wakwama nchini Kenya


Usafiri wa umma nchini Kenya wakati huu wa Krismasi umetatizika kutokana na ukosefu wa magari. .

Na Josephat Kioko, Mombasa, Kenya

Abiria wengi katika miji mbali-mbali nchini Kenya wamekwamba kutokana na mamatazito ya usafiri, ukiwepo uhaba wa magari na kwingineko nauli ikipandishwa maradufu.


Katika vituo kadhaa vya magari ya uchukuzi wa Umma kwenye eneo la pwani ya Kenya sawa na mji mkuu wa Nairobi, maelfu ya wasafiri wamekesha kutafuta magari ya Umma.

XS
SM
MD
LG