No media source currently available
Israeli yasema imefanya mashambulizi kadhaa dhidi ya wapiganaji wa Kiislam wa Hamas ambao wameshambulia kwa roketi kadhaa maeneo ya Israeli, huku madhara makubwa ya vifo na uharibu wa mali ukiripotiwa upande wa Palestina.
Ona maoni
Facebook Forum