Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 12, 2024 Local time: 22:48

Ufaransa yarudisha nyumbani mashabiki wa Russia


Ufaransa imeanza kuwarudisha nyumbani raia wa Russia 29 kufuatia ghasia kati yao na mashibiki wa Uingereza wakati wa siku za kwanza za michuano ya Kombe la Euro la mwaka huu.

Washabiki wa Russia
Washabiki wa Russia

Zaidi ya watu 35 walijeruhiwa mjini Marseille Jumamosi jioni baada ya mashabiki wa Russia na wale wa Uingereza kukabiliana karibu na uwanja wa Stade Velodrome.

Baada ya mechi kumalizika kwa sare ya goli moja kwa moja, mashabiki wa Russia walianza kishambulia wenzao wa Uingereza na kupelekea wengi wao kuruka uzio wakijaribu kutorikea ghasia. Klemlin imekema tukio hilo ikiomba wa Russia kutokuwa na hasira wakati wa michuano.

XS
SM
MD
LG