Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Novemba 29, 2022 Local time: 16:45

Marekani yatoa msaada wa silaha Ukraine


Marekani yatoa msaada wa silaha Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:51 0:00

Marekani imeanza kutuma shehena ya msaada wa silaha kwa Ukraine baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden hivi karibuni kusema kuwa harakati zozote za wanajeshi wa Russia kuingia Ukraine zitaonekana kuwa ni uvamizi.

XS
SM
MD
LG