Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 16:05

Marekani yaidhinisha dawa ya kinga dhidi ya virusi vya Ukimwi


Marekani yaidhinisha dawa ya kinga dhidi ya virusi vya Ukimwi
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:49 0:00

Mamlaka ya Kudhibiti Ubora wa Chakula na Dawa nchini Marekani imeidhinisha matumizi ya dawa kwa njia ya sindano kwa watu ambao wanaweza kuambukizwa virusi vya ukimwi baada ya kujikuta katika mazingira hatarishi ya maambukizi.

XS
SM
MD
LG