Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 23, 2024 Local time: 15:17

Marekani: Trump ashtakiwa kwa shutuma za kihalifu za kumlipa mcheza filamu za ngono


Marekani: Trump ashtakiwa kwa shutuma za kihalifu za kumlipa mcheza filamu za ngono
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:46 0:00

Jopo la Mahakama huko New York limepiga kura kumshtaki rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kwa shutuma za kihalifu kuhusiana na kumlipa mcheza filamu za ngono Stormy Daniels.

Donald Trump amekuwa rais wa zamani wa kwanza kukabiliwa na mashtaka ya uhalifu.
Katika hatua ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Marekani, Jopo la Mahakama huko New York limepiga kura kumshtaki Trump kwa shutuma za uhalifu unaohusiana na kumnyamazisha mcheza filamu za ngono wakati wa kampeni yake ya urais mwaka 2016.
Mashtaka yaliyotarajiwa zaidi yanakuja wakati Trump anatafuta kurejea tena White House baada ya kushindwa azma yake ya kuchaguliwa tena 2020, na kumfanya kuwa yote rais pekee, hivi sasa au zamani na mgombea urais pekee aliyefunguliwa mashtaka.

XS
SM
MD
LG