No media source currently available
Mkutano wa Negev unafanyika wakati na washirika wa Ulaya wameelezea kughadhibishwa na msimamo wa mataifa ya Mashariki ya Kati. kwa kutoonyesha ungaji mkono mkubwa wa Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia na hawajajitenga na Moscow.