Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Februari 04, 2023 Local time: 19:17

Marekani na Ujerumani kuongoza mjadala wa hatma ya Afghanistan


Marekani na Ujerumani kuongoza mjadala wa hatma ya Afghanistan
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:56 0:00

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas ni wenyeji wa mazungumzo Jumatano na kundi la washirika na wadau kujadili hali nchini Afghanistan.

XS
SM
MD
LG