Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Juni 25, 2024 Local time: 21:38

Marekani kutoa takwimu za ukuaji wa uchumi kuanzia Aprili hadi Juni

Rais Biden anatoa maoni juu ya ripoti ya Ajira huko Rehoboth Beach, Delaware.
Rais Biden anatoa maoni juu ya ripoti ya Ajira huko Rehoboth Beach, Delaware.

Marekani inatazamiwa kutoa takwimu za ukuaji wa uchumi kuanzia Aprili hadi Juni siku ya Alhamisi, huku kukiwa na hofu kwamba uchumi unaweza kukaribia kuzorota.

Marekani inatazamiwa kutoa takwimu za ukuaji wa uchumi kuanzia Aprili hadi Juni siku ya Alhamisi, huku kukiwa na hofu kwamba uchumi unaweza kukaribia kuzorota.

Watabiri walikadiria ukuaji mdogo katika robo ya pili ya chini ya asilimia moja.

Robo ya awali ilishuhudia pato la taifa likipungua kwa asilimia 1.6.

Robo hasi ya pili mfululizo itafikia ufafanuzi usio rasmi wa kushuka kwa uchumi.

Ripoti ya Alhamisi inakuja siku moja baada ya hifadhi ya Shirikisho kuongeza tena kiwango cha riba wakati inajaribu kupunguza mfumuko wa bei.

Ripoti ya Alhamisi inakuja siku moja baada ya Hazina kuongeza tena kiwango cha riba wakati inajaribu kupunguza mfumuko wa bei.

XS
SM
MD
LG