Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Machi 04, 2024 Local time: 01:07

Marekani, Japan, Korea Kusini Waungana Kujibu Hatua ya Korea Kaskazini

Kim Jong Un atoa hotuba, Jan. 1, 2016.
Kim Jong Un atoa hotuba, Jan. 1, 2016.

Korea Kusini imesema itarudia tena matangazo ya propaganda kutumia kipaza sauti ndani ya Korea kaskazini Ijumaa ikiwa ni majibu yao kutokana na majaribio ya nyuklia ya Pyongyang mapema wiki hii.

Hatua hiyo ya Seoul inakuja wakati rais Barack Obama ameahidi kufanya kazi na viongozi wa Korea kusini na Japan katika kuwasilisha jibu la pamoja kwa Korea Kaskazini kwa kile wanachodai ilikuwa bomu la Hydrogen.

Japan's U.N. Ambassador Motohide Yoshikawa speaks during a press conference after attending a Security Council meeting on North Korea, Jan. 6, 2016 at U.N. headquarters.
Japan's U.N. Ambassador Motohide Yoshikawa speaks during a press conference after attending a Security Council meeting on North Korea, Jan. 6, 2016 at U.N. headquarters.

Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe ameongea na wabunge juu ya Korea Kaskazini.

XS
SM
MD
LG