Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 28, 2023 Local time: 13:53

Marefarii wanawake kuweka rekodi katika michuano ya Kombe la Dunia 2022


Marefarii wanawake kuweka rekodi katika michuano ya Kombe la Dunia 2022
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:45 0:00

Marefarii wanawake wanatarajiwa kuweka rekodi katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka 2022 kwa kuchezesha michezo kwenye mashindano makubwa ya wanaume kwa mara ya kwanza.

XS
SM
MD
LG