Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 08, 2022 Local time: 19:46

Maombolezo ya Patrick Lyoya aliyeuwawa na polisi yafanyika Michigan


Maombolezo ya Patrick Lyoya aliyeuwawa na polisi yafanyika Michigan
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:30 0:00

Maombolezo ya Patrick Lyoya yamefanyika Ijumaa katika mji wa Grand Rapids, Jimbo la Michigan, Marekani.

Lyoya ambaye alizaliwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo alipigwa risasi na afisa wa idara ya polisi ya mji wa Grand Rapids ambaye hajatajwa jina baada ya kusimamishwa kazi mapema mwezi huu.

Watu hao wawili walihangaika kugombania bunduki ya afisa huyo kabla ya Lyoya kupigwa risasi kisogoni uso wake ukiwa umelala kifudifudi.

XS
SM
MD
LG