Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 07:24

Manchester City wapata ushindi wa kihistoria wa 3-2 dhidi ya Aston Villa


Manchester City wapata ushindi wa kihistoria wa 3-2 dhidi ya Aston Villa
please wait

No media source currently available

0:00 0:08:05 0:00

Siku ya mwisho ya Ligi ya Uingereza jana Jumapili ilikuwa ni ya kusisimua kweli kweli ambapo vijana wa Manchester City waliibuka kidedea na kutwaa ubigwa wa Ligi kuu ya nchi hiyo baada ya kuifunga Astro Villa jumla ya mabao 3-2 ikiwa ni ushindi wa kihistoria.

XS
SM
MD
LG