No media source currently available
Maafisa wa kijeshi kutoka nchi 11 za Maziwa Makuu wakiongozwa na kamanda kutoka taifa la Kenya wametembelea kambi mbalimbali za kijeshi kuchunguza sababu zinazopelekea waasi kushambulia jeshi.