Siku ya Jumanne, BMJ Muriithi alizungumza na wakili Charles Kanjama, ambaye ni mchambuzi wa masuala ya siasa na akaanza kwa kumuuliza kuelezea kuhusu zoezi la kukagua mifumo ya kielektroniki ya tume ya uchaguzi ya IEBC, limefikia wapi, baada ya mahakama hiyo kuamuru lifanyike.