Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Novemba 04, 2026 Local time: 15:32

Mahujaji wawasili Mlima Arafat siku ya tatu ya Hija


Mahujaji wawasili Mlima Arafat  siku ya tatu ya Hija
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:54 0:00

Karibu mahujaji milioni 2 wamewasili kwenye Mlima Arafat, kuanzia alfajiri Jumanne, ikiwa ni kilele cha ibada ya Haji na mahala ambako ina aminika Mtume Mohamed SWA, alitoa hotuba yake ya mwisho.

​
XS
SM
MD
LG